Wednesday, 1 February 2012

WHY DID THE CHICKEN CROSS THE ROAD?

KIBAKI: ni pumbafu tu...ona sasa inavuka barabara pekee yake, si itagongwa na gari?..useless

BARAZA: where’s my gun?

UHURU: i own that chicken..i also own that road

MURUGI: ikigongwa na toa nguo zote

KALONZO: imevuka side ya left? ..ama side ya right?..

RUTO: that is not true...it only happens in the movies, ThIS is strange to me.. .

ATWOLI: strike, strike uuuuiiii!

RAILA: anafanya nyef nyef!

 SONKO: mzeiya.. .hiyo si kuku..hiyo ni dush... za gotea hiyo story

JULIE GICHURU: Who owns that chicken.......??

 ALFRED MUTUA ...the govt has confirmed reports that there were no chickens crossing the road...

 BONOKO DE:.... Hiyo sio kuku....ilikuwa ina taka kuchomewa pare ngara na omondi...sasa ndio baraza   akakuja na kuipiga risasi halafu akaikelea bonoko....sio kuku..

 JIMMY GATHU.. so ata baada ya mazungumzo kuhusu kuku kuvuka barabara...bado hujaacha mipango ya kudanganya wakenya!

 MOI: ....Kuku gani...kuku ninayojua tu ni ya Ganu...hao wegine ni vifaranga!

 SANG ARAP:.... Pliz pliz nawaomba muuze iyo kuku nipate fare ya hague ..pliz ishikeni..

 ALSHABAAB DUDE: ...*spits a mighty kikohozi*...Bahari gani ya kuku nasema inavuka barabara....mimi naona magureneti ya TFG na kenya army too...abana ona kuku hapa...

 ATWOLI .....wooooi shindwe shetani...kuku barabarani...foolish...matatu zote zina strike kutoka kesho...!

 ONGERI ....This hens or as u cal them chickens ..have perfected their methods of crossing roads..they use slippers...

Tea-Bag Buju.....  wat! This is my post unatumia....u shuld learn to know people...*mapua pincher*

No comments:

Post a Comment